Songs Lyrics

Otile Brown Ft. Darassa – K.O (Tiktok) Lyrics

4
(209)

Otile Brown Ft. Darassa – K.O (Tiktok) Lyrics

K.O Lyrics – Otile Brown & Darassa

Kama pumzi naka takata
Kanipiga butwaa twa twa twa
Hata na meno nang’ata
Hakika ma ulivaa
Nashindwa hataa kuongea
Mungu fundi mwana kaumba
Utapendeza hata ukisuka shurma
Umenipiga K.O knockout
Iyo make up K.O knockout
Umenipiga K.O knockout
Nywele K.O knockout

Ladies watoto kali mnajijua siri za mwanamke kuringa
Ku umevaa unapendeza nataka kuona shape
Short or long hair
Pretty pretty baby face
Hips, lips kiss, red wine taste
Police police tunadai kupewa kesi
Akikuangala tu unaweza ktoa cardi ya benki
Macho vya kusinzia zile kuibia ibia
Utansema kila kitu alafu kimemzidia
Kama unataka kupanda mizuka ka jiachia

Sarakasi imesamba mateke ya sinzia
Nimekolea naye sishikiki na msichana
Kumwaga raha tena kacheza kainama
Ukuti ukuti kainuka kasimana nguo fupi lakini naona ka inambana
Msala ndio color nacheki iyo figa cheki mantle
Kasema kakatiza mtaani, kachaganya watu
She’s pretty and she knows what she wants to
Ukicompare we unatofauti
Dara$$a Otile Brown in a knockout
Tik tok, tik tok, tik tok

Umenipiga K.O knockout
Iyo make up K.O knockout
Umenipiga K.O knockout
Nywele K.O knockout
Tik tok, tik tok, tik tok

How useful was this post?

Click on a star to rate it!

Average rating 4 / 5. Vote count: 209

No votes so far! Be the first to rate this post.

Dj AfroNaija

That Brave Edo Boy " Austin Aigbe " Aka " Dj AfroNaija " 👑 Music Promoter | Deejay 👑 Blogger | Web Designer 🔯 Song Writer | Content Creator Call or WhatsApp Him For All Kinds Of Promotion : +2349092093564

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.